John 9:32-33

32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu. 33 aKama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”

Copyright information for SwhKC